Mark 13:23
Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia. 1 Kuja Kwa Mwana Wa Adamu (Mathayo 24:29-31; Luka 21:25-28)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But take ye heed: behold, I have foretold you all things.
In Context
Cross References
Isaiah 44:7Ni nani basi aliye kama mimi? Yeye na atangaze. 2 Yeye atangaze na kuweka mbele yangu 1 ni kitu gani kilichotokea tangu nilipoumba watu wangu wa kale, 2 tena ni nini kitakachotokea: 2 naam, yeye na atoe unabii ni nini kitakachokuja. 1
Mark 13:5Yesu akawaambia: “Jihadharini mtu yeyote asiwadanganye.
Mark 13:33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.
John 16:1“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani.