Mark 13:37
Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And what I say unto you I say unto all, Watch.
In Context
36Kama akija ghafula, asije akawakuta mmelala.
Cross References
Mark 13:33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.
Luke 12:41Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”