bible.software › Luke › Luke 12 › Luke 12:41
Luke 12:41
Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Peter said unto him, Lord, speakest thou this parable unto us, or even to all?
In Context
40Ninyi nanyi hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.” 1 Mtumishi Mwaminifu Na Yule Asiye Mwaminifu (Mathayo 24:45-51)
42Yesu akamjibu, “Ni yupi basi wakili mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamfanya msimamizi juu ya watumishi wake wote, ili awape watumishi wengine chakula chao wakati unaofaa?
Read all of Luke 12
Cross References
Mark 13:37Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ”
1 Peter 4:7Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.
This Verse In Other Editions
Study Luke 12:41