Mark 13:7
Msikiapo habari za vita na uvumi wa vita, msiwe na hofu. Mambo haya hayana budi kutukia, lakini ule mwisho bado.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Wengi watakuja kwa Jina langu wakidai, ‘Mimi ndiye,’ nao watawadanganya wengi.
Cross References
2 Samuel 14:14Kama vile maji yaliyomwagika ardhini, yasivyoweza kuzoleka tena, hivyo sisi kufa ni lazima. Lakini Mungu haondoi uhai, badala yake, yeye hufanya njia ili kwamba aliyefukuzwa asibaki akiwa amefarikishwa naye.
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Proverbs 3:25Usiogope maafa ya ghafula 2 au maangamizi yanayowapata waovu, 1
Jeremiah 4:19Ee mtima wangu, mtima wangu! 2 Ninagaagaa kwa maumivu. 1 Ee maumivu makuu ya moyo wangu! 2 Moyo wangu umefadhaika ndani yangu, 2 siwezi kunyamaza. 1 Kwa sababu nimesikia sauti ya tarumbeta, 2 nimesikia kelele ya vita. 1
Matthew 18:7“Ole kwa ulimwengu kwa sababu ya yale mambo yanayosababisha watu kutenda dhambi! Mambo hayo lazima yawepo, lakini ole wake mtu yule ambaye huyasababisha.
Luke 21:9Lakini msikiapo habari za vita na machafuko, msiogope. Kwa maana hayo ni lazima yatokee kwanza, ila ule mwisho hautakuja wakati huo.”