Mark 14:1
Zilikuwa zimebaki siku mbili tu kabla ya Sikukuu ya Pasaka, na Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu. Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumkamata Yesu kwa hila na kumuua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 2:6Ukande na kumimina mafuta juu yake; hii ni sadaka ya nafaka.
Numbers 28:16“ ‘Katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, itafanyika Pasaka ya Bwana.
Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
Psalms 62:4Walikusudia kikamilifu kumwangusha 2 toka mahali pake pa fahari; 2 wanafurahia uongo. 1 Kwa vinywa vyao hubariki, 2 lakini ndani ya mioyo yao hulaani. 1
Psalms 64:2Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu, 2 kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya. 1
Matthew 12:14Lakini Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri baya juu ya Yesu jinsi watakavyoweza kumuua. 1 Mtumishi Aliyechaguliwa Na Mungu