Mark 14:25
Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Cross References
Joel 3:18“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, 2 na vilima vitatiririka maziwa; 2 mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. 1 Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya Bwana 2 na kunywesha Bonde la Shitimu. + 3:18 Au: Bonde la Migunga . 1
Zechariah 9:17Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! 2 Nafaka itawastawisha vijana wanaume, 2 nayo divai mpya vijana wanawake.
Luke 22:16Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mungu.”