Mark 14:26
Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 1 Yesu Atabiri Kuwa Petro Atamkana (Mathayo 26:31-35; Luka 22:31-34; Yohana 13:36-38)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they had sung an hymn, they went out into the mount of Olives.
In Context
Cross References
Judges 18:1Katika siku hizo Israeli walikuwa hawana mfalme. Katika siku hizo kabila la Wadani walikuwa wanatafuta mahali pao wenyewe pa kuishi, kwa sababu walikuwa hawajafika kwenye urithi wao miongoni mwa makabila ya Israeli.
Matthew 21:1Walipokaribia Yerusalemu, wakafika Bethfage katika Mlima wa Mizeituni. Ndipo Yesu akawatuma wanafunzi wake wawili,
Luke 22:39Yesu akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata.
1 Corinthians 14:15Nifanyeje basi? Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu. Nitaimba kwa roho na nitaimba kwa akili yangu pia.
Colossians 3:16Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.
Revelation 5:9Nao wakaimba wimbo mpya, wakisema: 1 “Wewe unastahili kukitwaa kitabu 2 na kuzivunja lakiri zake, 1 kwa sababu ulichinjwa 2 na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu 1 kutoka kila kabila, kila lugha, 2 kila jamaa na kila taifa. 1