Mark 14:3
Yesu alikuwa Bethania nyumbani kwa Simoni aliyekuwa na ukoma. Wakati alipokuwa ameketi mezani akila chakula cha jioni, mwanamke mmoja aliingia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya nardo + 14:3 Nardo ni aina ya manukato yaliyotengenezwa kutokana na mimea yenye mizizi inayotoa harufu nzuri. safi ya thamani kubwa. Akaivunja hiyo chupa, akamiminia hayo manukato kichwani mwa Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Baadhi ya watu waliokuwepo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, “Upotevu huu wote ni wa nini?
Cross References
Song of Solomon 4:13Mimea yako ni bustani ya mikomamanga 2 yenye matunda mazuri sana, 2 yenye hina na nardo, 1
Matthew 21:17Akawaacha, akatoka nje ya mji, akaenda hadi Bethania, akalala huko. 1 Mtini Wanyauka (Marko 11:12-14, 20-24)
Matthew 26:6Yesu alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,
John 11:2Huyu Maria, ambaye Lazaro kaka yake alikuwa mgonjwa, ndiye yule ambaye alimpaka Bwana mafuta na kuifuta miguu yake kwa nywele zake.