The Bible Software
bible.softwareMarkMark 14 › Mark 14:42

Mark 14:42

Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” 1 Yesu Akamatwa (Mathayo 26:47-56; Luka 22:47-53; Yohana 18:3-12)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Rise up, let us go; lo, he that betrayeth me is at hand.

In Context

41Akaja mara ya tatu, akawaambia, “Bado mmelala na kupumzika? Imetosha! Saa imewadia. Tazameni, Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi.

43Yesu alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale wanafunzi Kumi na Wawili, akatokea. Alikuwa amefuatana na umati wa watu wenye panga na marungu, waliokuwa wametumwa na viongozi wa makuhani, walimu wa sheria, na wazee.

Read all of Mark 14

Cross References

Matthew 26:46Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” 1 Yesu Akamatwa (Marko 14:43-50; Luka 22:47-53; Yohana 18:3-12)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 14:42

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 14:41Mark 14Mark 14:43 →