The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 26 › Mathayo 26:46

Mathayo 26:46

Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” 1 Yesu Akamatwa (Marko 14:43-50; Luka 22:47-53; Yohana 18:3-12)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Rise, let us be going: behold, he is at hand that doth betray me.

In Context

45Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawaambia, “Bado mmelala na kupumzika? Tazameni, saa imefika ambapo Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi.

47Alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale Kumi na Wawili, akafika. Alikuwa amefuatana na umati mkubwa wa watu wenye panga na marungu, waliokuwa wametumwa na viongozi wa makuhani na wazee wa watu.

Read all of Mathayo 26

Cross References

Mark 14:42Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” 1 Yesu Akamatwa (Mathayo 26:47-56; Luka 22:47-53; Yohana 18:3-12)

Luke 12:50Lakini ninao ubatizo ambao lazima nibatizwe, nayo dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo ukamilike!

John 14:31lakini ulimwengu upate kujua kuwa ninampenda Baba, nami hufanya vile Baba alivyoniamuru. “Haya inukeni; twendeni zetu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 26:46

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 26:45Mathayo 26Mathayo 26:47 →