The Bible Software
bible.softwareMarkMark 14 › Mark 14:5

Mark 14:5

Mafuta haya yangeweza kuuzwa kwa zaidi ya dinari + 14:5 Dinari 300 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 300. 300, na fedha hizo wakapewa maskini.” Wakamkemea vikali huyo mwanamke.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For it might have been sold for more than three hundred pence, and have been given to the poor. And they murmured against her.

In Context

4Baadhi ya watu waliokuwepo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, “Upotevu huu wote ni wa nini?

6Lakini Yesu akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mwanamke? Mwacheni! Yeye amenitendea jambo zuri sana.

Read all of Mark 14

Cross References

Deuteronomy 1:27Mkanungʼunika ndani ya mahema yenu na kusema, “ Bwana anatuchukia, kwa hiyo alitutoa Misri ili kututia mikononi mwa Waamori kutuangamiza.

Matthew 18:28“Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari + 18:28 Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja. mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’

Matthew 26:9Manukato haya yangeuzwa kwa bei kubwa, na fedha hizo wakapewa maskini.”

John 6:7Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili, + 6:7 Dinari 200 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 200; mshahara wa kibarua ulikuwa dinari moja kwa siku. hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.”

John 12:5“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300 + 12:5 Dinari 300 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 300. na fedha hizo wakapewa maskini?”

1 Corinthians 10:10Msinungʼunike kama baadhi yao walivyofanya, wakaangamizwa na mharabu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 14:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 14:4Mark 14Mark 14:6 →