Mark 14:9
Amin, nawaambia, mahali popote ulimwenguni ambapo Injili itahubiriwa, jambo hili alilolitenda huyu mwanamke litatajwa pia kwa ukumbusho wake.” 1 Yuda Akubali Kumsaliti Yesu (Mathayo 26:14-16; Luka 22:3-6)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 112:6Hakika hatatikisika kamwe, 2 mtu mwenye haki atakumbukwa milele. 1
Matthew 24:14Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.