The Bible Software
bible.softwareMarkMark 14 › Mark 14:10

Mark 14:10

Kisha Yuda Iskariote, mmoja wa wale wanafunzi kumi na wawili, akaenda kwa viongozi wa makuhani ili kumsaliti Yesu kwao.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Judas Iscariot, one of the twelve, went unto the chief priests, to betray him unto them.

In Context

9Amin, nawaambia, mahali popote ulimwenguni ambapo Injili itahubiriwa, jambo hili alilolitenda huyu mwanamke litatajwa pia kwa ukumbusho wake.” 1 Yuda Akubali Kumsaliti Yesu (Mathayo 26:14-16; Luka 22:3-6)

11Walifurahi sana kusikia jambo hili na wakaahidi kumpa fedha. Hivyo yeye akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti. 1 Yesu Ala Pasaka Na Wanafunzi Wake (Mathayo 26:17-25; Luka 22:7-14, 21-23; Yohana 13:21-30)

Read all of Mark 14

Cross References

Psalms 55:12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, 2 kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, 2 ningejificha asinione. 1

Matthew 26:14Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani

Luke 22:3Shetani akamwingia Yuda, aliyeitwa Iskariote, mmoja wa wale Kumi na Wawili.

John 13:2Wakati alipokuwa akila chakula cha jioni na wanafunzi wake, ibilisi alikuwa amekwisha kutia ndani ya moyo wa Yuda Iskariote, mwana wa Simoni, wazo la kumsaliti Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 14:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 14:9Mark 14Mark 14:11 →