The Bible Software
bible.softwareMarkMark 15 › Mark 15:19

Mark 15:19

Wakampiga kwa fimbo ya mwanzi tena na tena kichwani na kumtemea mate. Wakapiga magoti mbele yake, wakamsujudia kwa kumdhihaki.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they smote him on the head with a reed, and did spit upon him, and bowing their knees worshipped him.

In Context

18Wakaanza kumsalimu kwa dhihaka, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!”

20Walipokwisha kumdhihaki, wakamvua lile joho la zambarau, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakamtoa nje ili wakamsulubishe. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Luka 23:26-43; Yohana 19:17-27)

Read all of Mark 15

Cross References

Genesis 43:28Wakamjibu, “Mtumishi wako baba yetu bado anaishi na ni mzima.” Kisha wakainama chini kumpa heshima.

Esther 3:2Maafisa wote wa mfalme waliokaa langoni mwa mfalme walipiga magoti na kumpa Hamani heshima, kwa kuwa mfalme alikuwa ameamuru hili kuhusu Hamani. Lakini Mordekai hakumpigia magoti wala kumheshimu.

Job 30:8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, 2 waliofukuzwa watoke katika nchi. 1

Psalms 35:15Lakini nilipojikwaa, 2 walikusanyika kwa shangwe; 1 washambuliaji walijikusanya dhidi yangu 2 bila mimi kujua. 2 Walinisingizia pasipo kukoma. 1

Psalms 69:19Unajua jinsi ninavyodharauliwa, 2 kufedheheshwa na kuaibishwa, 2 adui zangu wote unawajua. 1

Isaiah 49:7Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye Mkombozi na Aliye Mtakatifu wa Israeli, 1 kwake yeye aliyedharauliwa na kuchukiwa na taifa, 2 kwa mtumishi wa watawala: 1 “Wafalme watakuona na kusimama, 2 wakuu wataona na kuanguka kifudifudi, 1 kwa sababu ya Bwana, aliye mwaminifu, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, aliyekuchagua wewe.” 1 Kurejezwa Kwa Israeli

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 15:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 15:18Mark 15Mark 15:20 →