bible.software › Mark › Mark 15 › Mark 15:20
Mark 15:20
Walipokwisha kumdhihaki, wakamvua lile joho la zambarau, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakamtoa nje ili wakamsulubishe. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Luka 23:26-43; Yohana 19:17-27)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they had mocked him, they took off the purple from him, and put his own clothes on him, and led him out to crucify him.
In Context
19Wakampiga kwa fimbo ya mwanzi tena na tena kichwani na kumtemea mate. Wakapiga magoti mbele yake, wakamsujudia kwa kumdhihaki.
21Mtu mmoja kutoka Kirene, jina lake Simoni, baba yao Aleksanda na Rufo, alikuwa anapita zake kuingia mjini kutoka shamba, nao wakamlazimisha kuubeba ule msalaba.
Read all of Mark 15
Cross References
Matthew 27:31Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe. 1 Yesu Asulubishwa (Marko 15:21-32; Luka 23:26-43; Yohana 19:17-27)
This Verse In Other Editions
Study Mark 15:20