Mark 15:27
Pamoja naye walisulubiwa wanyangʼanyi wawili, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. [
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And with him they crucify two thieves; the one on his right hand, and the other on his left.
In Context
26Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “ Mfalme wa Wayahudi.”
28Nayo maandiko yakatimizwa, yale yasemayo, “Alihesabiwa pamoja na watenda dhambi.]”
Cross References
Matthew 27:38Wanyangʼanyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto.
John 19:18Hapo ndipo walipomsulubisha. Pamoja naye walisulubisha watu wengine wawili, mmoja kila upande wake, naye Yesu katikati.