Mark 15:34
Mnamo saa tisa, Yesu akapaza sauti, akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa.
35Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni, anamwita Eliya.”
Cross References
Psalms 22:1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 2 Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? 2 Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 1
Psalms 42:9Ninamwambia Mungu Mwamba wangu, 2 “Kwa nini umenisahau? 1 Kwa nini niendelee kuomboleza, 2 nikiwa nimeonewa na adui?” 1
Isaiah 41:17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, 2 lakini hayapo, 2 ndimi zao zimekauka kwa kiu. 1 Lakini Mimi Bwana nitawajibu, 2 Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. 1
Lamentations 5:20Kwa nini watusahau siku zote? 2 Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu? 1
Matthew 27:46Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)
Luke 23:46Yesu akapaza sauti yake akasema, “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.