The Bible Software
bible.softwareMarkMark 15 › Mark 15:33

Mark 15:33

Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when the sixth hour was come, there was darkness over the whole land until the ninth hour.

In Context

32Basi huyu Kristo, + 15:32 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. huyu Mfalme wa Israeli, ashuke sasa kutoka msalabani, ili tupate kuona na kuamini.” Wale waliosulubiwa pamoja naye pia wakamtukana. 1 Kifo Cha Yesu Msalabani (Mathayo 27:45-56; Luka 23:44-49; Yohana 19:28-30)

34Mnamo saa tisa, Yesu akapaza sauti, akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)

Read all of Mark 15

Cross References

Psalms 105:28Alituma giza na nchi ikajaa giza, 2 kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? 1

Amos 8:9“Katika siku ile,” asema Bwana Mwenyezi, 1 “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia 2 iwe giza wakati wa mchana mwangavu. 1

Mark 15:25Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 15:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 15:32Mark 15Mark 15:34 →