Mark 2:19
Yesu akawajibu, “Wageni wa bwana arusi wawezaje kufunga wakati angali pamoja nao? Wakati bwana arusi bado yuko pamoja nao, hawawezi kufunga.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Siku hiyo ndipo watakapofunga.
Cross References
Genesis 29:22Basi Labani akaalika watu wote wa mahali pale na akafanya karamu.
Psalms 45:14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, 2 mabikira wenzake wanamfuata 2 na wanaletwa kwako. 1
Matthew 25:1“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.