Mark 2:24
Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the Pharisees said unto him, Behold, why do they on the sabbath day that which is not lawful?
In Context
Cross References
Exodus 31:15Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, takatifu kwa Bwana. Yeyote afanyaye kazi yoyote siku ya Sabato ni lazima auawe.
Numbers 15:32Waisraeli walipokuwa jangwani, mtu mmoja alikutwa akikusanya kuni siku ya Sabato.
Isaiah 56:2Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, 2 mtu yule alishikaye kwa uthabiti, 1 yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, 2 auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.” 1
Isaiah 56:6Wageni wanaoambatana na Bwana 2 ili kumtumikia, 1 kulipenda jina la Bwana, 2 na kumwabudu yeye, 1 wote washikao Sabato bila kuinajisi 2 na ambao hushika sana agano langu: 1
Jeremiah 17:20Waambie, ‘Sikieni neno la Bwana, enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wote wa Yuda, na kila mmoja aishiye Yerusalemu apitaye katika malango haya.
Matthew 12:2Lakini Mafarisayo walipoona jambo hili, wakamwambia, “Tazama! Wanafunzi wako wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato.”