Mark 2:25
Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa, wakahitaji chakula?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato?”
Cross References
1 Samuel 21:3Sasa basi, una nini mkononi? Nipatie mikate mitano au chochote unachoweza kupata.”
Matthew 21:16Wakamuuliza Yesu, “Je, unasikia hayo hawa wanayosema?” Akawajibu, “Naam; kwani hamkusoma, 1 “ ‘Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao 2 umeamuru sifa’?”
Matthew 22:31Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba,
Mark 12:26Basi kuhusu wafu kufufuliwa, je hamjasoma katika Kitabu cha Mose jinsi Mungu alivyosema na Mose kutoka kile kichaka akisema, ‘Mimi ni Mungu wa Abrahamu, na Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo?’