Mark 3:24
Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if a kingdom be divided against itself, that kingdom cannot stand.
In Context
23Basi Yesu akawaita na kuzungumza nao kwa mifano akasema: “Shetani awezaje kumtoa Shetani?
25Nayo nyumba kama ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Cross References
Judges 9:23Mungu akaruhusu roho mbaya kati ya Abimeleki na watu wa Shekemu, nao watu wa Shekemu wakamtendea Abimeleki kwa hila.
2 Samuel 20:1Basi, kulikuwa na mtu mbaya sana aliyeitwa Sheba mwana wa Bikri, Mbenyamini, aliyekuwako huko. Akapiga tarumbeta na kupaza sauti, 1 “Hatuna fungu katika Daudi, 2 wala hatuna sehemu 2 katika mwana wa Yese! 1 Kila mtu aende hemani mwake, 2 enyi Israeli!”
1 Kings 12:16Israeli wote walipoona kuwa mfalme amekataa kuwasikiliza, wakamjibu mfalme: 1 “Tuna fungu gani kwa Daudi? 2 Sisi hatuna urithi kwa mwana wa Yese. 1 Nendeni kwenye mahema yenu, ee Israeli! 2 Angalia nyumba yako mwenyewe, ee Daudi!” Hivyo Waisraeli wakaenda kwenye mahema yao.
Isaiah 19:2“Nitamchochea Mmisri dhidi ya Mmisri, 2 ndugu atapigana dhidi ya ndugu, 2 jirani dhidi ya jirani, 2 mji dhidi ya mji, 2 ufalme dhidi ya ufalme. 1
Zechariah 11:14Kisha nikaivunja fimbo yangu ya pili iitwayo Umoja, kuvunja undugu kati ya Yuda na Israeli!
1 Corinthians 1:10Nawasihi ndugu zangu, katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi, ili pasiwepo na matengano katikati yenu na kwamba mwe na umoja kikamilifu katika nia na katika kusudi.