The Bible Software
bible.softwareMarkMark 3 › Mark 3:23

Mark 3:23

Basi Yesu akawaita na kuzungumza nao kwa mifano akasema: “Shetani awezaje kumtoa Shetani?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he called them unto him, and said unto them in parables, How can Satan cast out Satan?

In Context

22Walimu wa sheria walioteremka kutoka Yerusalemu walisema, “Amepagawa na Beelzebuli! + 3:22 Beelzebuli kwa Kiyunani ni Beelzebubu, yaani mkuu wa pepo wachafu. Anatoa pepo wachafu kwa kutumia mkuu wa pepo wachafu!”

24Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.

Read all of Mark 3

Cross References

Psalms 49:4Nitatega sikio langu nisikilize mithali, 2 nitafafanua kitendawili kwa zeze: 1

Matthew 12:25Yesu alijua walichokuwa wakiwaza, hivyo akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Hali kadhalika kila mji au watu wa nyumba moja waliogawanyika dhidi yao wenyewe hawawezi kusimama.

Mark 4:2Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, naye katika mafundisho yake akasema:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 3:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 3:22Mark 3Mark 3:24 →