The Bible Software
bible.softwareMarkMark 3 › Mark 3:29

Mark 3:29

Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But he that shall blaspheme against the Holy Ghost hath never forgiveness, but is in danger of eternal damnation:

In Context

28Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa.

30Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” 1 Mama Na Ndugu Zake Yesu (Mathayo 12:46-50; Luka 8:19-21)

Read all of Mark 3

Cross References

Matthew 12:31Kwa hiyo nawaambia, kila dhambi na kufuru watu watasamehewa, lakini mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.

Mark 12:40Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.” 1 Sadaka Ya Mjane (Luka 21:1-4)

2 Thessalonians 1:9Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa uweza wake,

Jude 1:13Wao ni mawimbi makali ya bahari, yakitoa povu la aibu yao wenyewe, ni nyota zipoteazo, ambao weusi wa giza ndio akiba waliowekewa milele.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 3:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 3:28Mark 3Mark 3:30 →