Mark 3:30
Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” 1 Mama Na Ndugu Zake Yesu (Mathayo 12:46-50; Luka 8:19-21)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because they said, He hath an unclean spirit.
In Context
29Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”
31Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.
Cross References
John 10:20Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.”