Mark 3:32
Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.
33Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?”