Mark 3:31
Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There came then his brethren and his mother, and, standing without, sent unto him, calling him.
In Context
Cross References
Luke 8:19Wakati mmoja mama yake Yesu na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu.