The Bible Software
bible.softwareMarkMark 4 › Mark 4:13

Mark 4:13

Kisha Yesu akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said unto them, Know ye not this parable? and how then will ye know all parables?

In Context

12ili, 1 “ ‘daima waone lakini wasitambue, 2 daima wasikie lakini wasielewe; 1 wasije wakageuka, wakatubu na kusamehewa!’ ” 1 Yesu Afafanua Maana Ya Mfano Wa Mbegu (Mathayo 13:18-23; Luka 8:11-15)

14Yule mpanzi hupanda neno.

Read all of Mark 4

Cross References

Matthew 13:51Yesu akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?” Wakamjibu, “Ndiyo.”

Matthew 16:8Yesu, akifahamu majadiliano yao, akauliza, “Enyi wa imani haba! Mbona mnajadiliana miongoni mwenu kuhusu kutokuwa na mikate?

Luke 8:11“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.

1 Corinthians 3:1Ndugu zangu, mimi sikuweza kusema nanyi kama watu wa kiroho, bali kama watu wa mwilini, kama watoto wachanga katika Kristo.

Revelation 3:19“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 4:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 4:12Mark 4Mark 4:14 →