Luke 8:11
“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now the parable is this: The seed is the word of God.
In Context
Cross References
Matthew 13:19Mtu yeyote anaposikia neno la Ufalme naye asilielewe, yule mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake. Hii ndiyo ile mbegu iliyopandwa kando ya njia.
1 Corinthians 3:6Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza.
James 1:21Kwa hiyo, ondoleeni mbali uchafu wote na uovu ambao umezidi kuwa mwingi, mkalipokee kwa unyenyekevu lile Neno lililopandwa ndani yenu ambalo laweza kuokoa nafsi zenu.