Mark 4:29
Lakini nafaka inapokuwa imekomaa, mara mkulima huingia shambani na mundu wa kuvunia, maana mavuno yamekuwa tayari.” 1 Mfano Wa Mbegu Ya Haradali (Mathayo 13:31-32, 34; Luka 13:18-19)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.
30Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuueleza?
Cross References
Isaiah 57:1Mwenye haki hupotea, 2 wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; 1 watu wanaomcha Mungu huondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja anayeelewa 1 kuwa wenye haki wameondolewa 2 ili wasipatikane na maovu. 1
Matthew 13:30Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ” 1 Mfano Wa Mbegu Ya Haradali (Marko 4:30-32; Luka 13:18-19)
2 Timothy 4:7Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda.