Marko 4:30
Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuueleza?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Ni kama punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini.
Cross References
Lamentations 2:13Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? 2 Nikulinganishe na nini, 2 ee Binti Yerusalemu? 1 Nitakufananisha na nini, 2 ili nipate kukufariji, 2 ee Bikira Binti Sayuni? 1 Jeraha lako lina kina kama bahari. 2 Ni nani awezaye kukuponya? 1
Matthew 13:24Yesu akawaambia mfano mwingine, akasema: “Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.
Luke 13:18Kisha Yesu akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?