The Bible Software
bible.softwareMarkMark 5 › Mark 5:2

Mark 5:2

Yesu alipotoka kwenye mashua, mara mtu mmoja mwenye pepo mchafu akatoka makaburini akakutana naye.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when he was come out of the ship, immediately there met him out of the tombs a man with an unclean spirit,

In Context

1Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi.

3Mtu huyu aliishi makaburini, wala hakuna aliyeweza kumzuia hata kwa kumfunga minyororo.

Read all of Mark 5

Cross References

Mark 1:23Wakati huo huo katika sinagogi lao palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu,

Mark 3:30Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” 1 Mama Na Ndugu Zake Yesu (Mathayo 12:46-50; Luka 8:19-21)

Mark 5:8Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!”

Luke 8:27Yesu aliposhuka kutoka mashua na kukanyaga ufuoni, alikutana na mtu mmoja wa mji ule aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, naye kwa muda mrefu alikuwa havai nguo wala kuishi nyumbani, bali aliishi makaburini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 5:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 5:1Mark 5Mark 5:3 →