Mark 5:29
Mara kutoka damu kwake kukakoma, naye akajisikia mwilini mwake amepona kabisa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikiweza kuligusa vazi lake tu, nitaponywa.”
Cross References
Exodus 15:26Mungu akasema, “Kama mkisikiliza kwa bidii sauti ya Bwana Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa machoni pake, kama mkiyatii maagizo yake na kuzishika amri zake zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, niwaponyaye.”
Leviticus 20:18“ ‘Ikiwa mwanaume atalala na mwanamke aliye katika hedhi yake na kukutana naye kimwili, amefunua mtiririko wa hedhi yake, naye huyo mwanamke amejifunua uchi wake. Wote wawili lazima wakatiliwe mbali na watu wao.
Job 33:24kumwonea huruma na kusema, 2 ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; 2 nimepata ukombozi kwa ajili yake’: 1
Psalms 103:3akusamehe dhambi zako zote, 2 akuponya magonjwa yako yote, 1
Psalms 147:3Anawaponya waliovunjika mioyo 2 na kuvifunga vidonda vyao. 1
Mark 5:34Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako.” 1 Yesu Amfufua Binti Yairo