The Bible Software
bible.softwareMarkMark 5 › Mark 5:34

Mark 5:34

Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako.” 1 Yesu Amfufua Binti Yairo

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said unto her, Daughter, thy faith hath made thee whole; go in peace, and be whole of thy plague.

In Context

33Yule mwanamke, akijua kilichomtokea, akaja, akaanguka miguuni pake akitetemeka kwa hofu, akamweleza ukweli wote.

35Alipokuwa bado anaongea, watu wakafika kutoka nyumbani kwa Yairo. Wakamwambia, “Binti yako amekufa. Kwa nini kuendelea kumsumbua Mwalimu?”

Read all of Mark 5

Cross References

1 Samuel 1:17Eli akamjibu, “Nenda kwa amani, naye Mungu wa Israeli na akujalie kile ulichomwomba.”

2 Kings 5:19Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani,

Matthew 9:2Wakati huo huo wakamletea mtu aliyepooza, akiwa amelazwa kwenye mkeka. Yesu alipoiona imani yao, alimwambia yule mtu aliyepooza, “Mwanangu, jipe moyo mkuu. Dhambi zako zimesamehewa.”

Mark 5:29Mara kutoka damu kwake kukakoma, naye akajisikia mwilini mwake amepona kabisa.

Luke 7:50Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”

Luke 17:19Yesu akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” 1 Kuja Kwa Ufalme Wa Mungu (Mathayo 24:23-28, 37-41)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 5:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 5:33Mark 5Mark 5:35 →