Mark 6:28
akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And brought his head in a charger, and gave it to the damsel: and the damsel gave it to her mother.
In Context
Cross References
2 Samuel 4:7Walikuwa wameingia ndani ya nyumba wakati alipokuwa amelala kitandani chumbani kwake. Baada ya kumchoma mkuki na kumuua, walikata kichwa chake. Wakiwa wamekichukua, walitembea usiku kucha kwa njia ya Araba.