Mark 6:29
Wanafunzi wa Yohana walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini. 1 Yesu Awalisha Wanaume 5,000 (Mathayo 14:13-21; Luka 9:10-17; Yohana 6:1-14)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when his disciples heard of it, they came and took up his corpse, and laid it in a tomb.
In Context
28akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake.
Cross References
1 Kings 13:29Basi yule nabii mzee akachukua maiti ya mtu wa Mungu, akailaza juu ya punda na akairudisha katika mji wake, ili amwombolezee na kumzika.
Matthew 14:12Wanafunzi wa Yohana wakaja na kuuchukua mwili wake kwenda kuuzika. Kisha wakaenda wakamwambia Yesu. 1 Yesu Alisha Wanaume 5,000 (Marko 6:30-44; Luka 9:10-17; Yohana 6:1-14)
Acts 8:2Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana.