Mark 6:5
Hakufanya miujiza yoyote huko isipokuwa kuweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache na kuwaponya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 19:22Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari. + 19:22 Soari maana yake Mdogo.)
Isaiah 59:1Hakika mkono wa Bwana si mfupi hata usiweze kuokoa, 2 wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia. 1
Mark 5:23akamsihi akisema, “Binti yangu mdogo ni mgonjwa mahututi. Tafadhali nakusihi, njoo uweke mikono yako juu yake ili apate kupona, naye atakuwa hai.”
Hebrews 4:2Kwa maana sisi pia tumesikia Injili iliyohubiriwa kwetu, kama nao walivyosikia; lakini ujumbe ule waliousikia haukuwa na maana kwao, kwa sababu wale waliousikia hawakuuchanganya na imani.