The Bible Software
bible.softwareMarkMark 6 › Mark 6:49

Mark 6:49

lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But when they saw him walking upon the sea, they supposed it had been a spirit, and cried out:

In Context

48Akawaona wanafunzi wake wanahangaika na kupiga makasia kwa nguvu, kwa sababu upepo ulikuwa wa mbisho. Wakati wa zamu ya nne ya usiku, Yesu akawaendea wanafunzi wake, akiwa anatembea juu ya maji. Alikuwa karibu kuwapita,

50kwa sababu wote walipomwona waliogopa. Mara Yesu akasema nao, akawaambia, “Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope!”

Read all of Mark 6

Cross References

Job 9:8Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1

Luke 24:37Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 6:49

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 6:48Mark 6Mark 6:50 →