Mark 6:50
kwa sababu wote walipomwona waliogopa. Mara Yesu akasema nao, akawaambia, “Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
49lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe,
51Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa,
Cross References
Matthew 14:27Lakini mara Yesu akasema nao, akawaambia, “Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope.”
John 6:19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne, + 6:19 Maili tatu au nne ni kama kilomita 5 au 6. walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana.