Mark 6:8
Akawaagiza akisema, “Msichukue chochote kwa ajili ya safari isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kwenye mikanda yenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Akawaita wale kumi na wawili, akawatuma wawili wawili, na kuwapa mamlaka kutoa pepo wachafu.
9Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.”
Cross References
Matthew 10:9Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.
Luke 10:4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.