Matthew 10:9
Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Provide neither gold, nor silver, nor brass in your purses,
In Context
8Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo wachafu. Mmepata bure, toeni bure.
Cross References
Mark 6:8Akawaagiza akisema, “Msichukue chochote kwa ajili ya safari isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kwenye mikanda yenu.
Luke 10:4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.
1 Corinthians 9:7Ni askari yupi aendaye vitani kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye shamba la mizabibu na asile matunda yake? Ni nani achungaye kundi na asipate maziwa yake.