Mark 7:23
Maovu haya yote hutoka ndani ya mtu, nayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi.” 1 Imani Ya Mwanamke Msirofoinike (Mathayo 15:21-28)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All these evil things come from within, and defile the man.
In Context
22tamaa mbaya, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, matukano, kiburi na upumbavu.
Cross References
Mark 7:18Akawajibu, “Je, hata nanyi hamwelewi? Je, hamfahamu kwamba kitu kimwingiacho mtu hakimtii unajisi?
Titus 1:15Kwa wale walio safi, kila kitu ni safi kwao. Lakini kwa wale waliopotoka na wasioamini, hakuna chochote kilicho safi. Kwa kweli nia zao na dhamiri zao zimepotoka.