Mark 7:24
Ndipo Yesu akaondoka hapo akaenda sehemu za Tiro. Akaingia katika nyumba moja, naye hakutaka mtu yeyote ajue kwamba yuko humo. Lakini hakuweza kujificha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:15Kanaani alikuwa baba wa: 2 Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,
Genesis 49:13“Zabuloni ataishi pwani ya bahari 2 na kuwa bandari za kuegesha meli; 2 mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni. 1
Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1
Isaiah 42:2Hatapaza sauti wala kupiga kelele, 2 wala hataiinua sauti yake barabarani. 1
Ezekiel 28:21“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Sidoni, ukatabiri dhidi yake,
Matthew 11:21“Ole wako, Korazini! Ole wako Bethsaida! Kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwenu, ingefanyika Tiro na Sidoni, miji hiyo ingekuwa imetubu zamani kwa kuvaa magunia na kujipaka majivu.