Mark 7:36
Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hizi. Lakini kadiri alivyowazuia, ndivyo walivyozidi kutangaza kwa bidii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa.
Cross References
Matthew 8:4Kisha Yesu akamwambia, “Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Mose, ili kuwa ushuhuda kwao.” 1 Yesu Amponya Mtumishi Wa Jemadari (Luka 7:1-10)
Mark 3:12Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 1 Yesu Achagua Mitume Kumi Na Wawili (Mathayo 10:1-4; Luka 6:12-16)
Mark 8:26Yesu akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.” 1 Petro Amkiri Yesu Kuwa Ndiye Kristo (Mathayo 16:13-20; Luka 9:18-21)