Mark 7:6
Yesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa: 1 “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Huniabudu bure, 2 nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’
Cross References
Isaiah 29:13Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1
Hosea 8:2Israeli ananililia, 2 ‘Ee Mungu wetu, tunakukubali!’ 1
Matthew 23:13“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya Ufalme wa Mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [
John 5:42Lakini ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu.
John 8:54Yesu akawajibu, “Kama nikijitukuza utukufu wangu hauna maana. Baba yangu, huyo ambaye ninyi mnadai kuwa ni Mungu wenu, ndiye anitukuzaye mimi.
Acts 28:25Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho Mtakatifu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Yesu kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1