Acts 28:25
Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho Mtakatifu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Yesu kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Baadhi wakasadiki yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini.
Cross References
Matthew 15:7Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 1
Acts 28:29Naye akiisha kusema maneno haya, Wayahudi wakaondoka wakiwa na hoja nyingi miongoni mwao.]