Mark 9:29
Yesu akawajibu, “Hali hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba na kufunga.” 1 Yesu Atabiri Tena Kifo Chake Na Ufufuo (Mathayo 17:22-23; Luka 9:43-45)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto them, This kind can come forth by nothing, but by prayer and fasting.
In Context
30Wakaondoka huko, wakapitia Galilaya. Yesu hakutaka mtu yeyote afahamu mahali walipo,
Cross References
2 Kings 4:33Akaingia ndani, akajifungia yeye na yule mtoto, akamwomba Bwana.
Matthew 12:45Kisha huenda na kuwaleta pepo wachafu wengine saba wabaya kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo. Nayo hali ya mwisho ya yule mtu huwa ni mbaya kuliko ile ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kiovu.” 1 Mama Na Ndugu Zake Yesu (Marko 3:31-35; Luka 8:19-21)
Matthew 17:21Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.]”
Acts 9:40Petro akawatoa wote nje ya kile chumba, kisha akapiga magoti akaomba, akaugeukia ule mwili akasema, “Tabitha, inuka.” Akafumbua macho yake na alipomwona Petro, akaketi.
1 Corinthians 9:27la, bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha ili nikiisha kuwahubiria wengine, mimi nisiwe mtu wa kukataliwa.
2 Corinthians 11:27Nimekuwa katika kazi ngumu na taabu, katika kukesha mara nyingi; ninajua kukaa njaa na kuona kiu; nimefunga kula chakula mara nyingi; nimehisi baridi na kuwa uchi.