Mark 9:28
Baada ya Yesu kuingia ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza wakiwa peke yao, “Mbona sisi hatukuweza kumtoa huyo pepo mchafu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.
Cross References
Matthew 13:10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”
Matthew 15:15Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.”
Mark 4:10Alipokuwa peke yake, watu waliokuwepo naye pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili wakamuuliza kuhusu mifano yake.
Mark 7:17Akiisha kuuacha ule umati wa watu na kuingia ndani, wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano ule.