Mark 9:5
Petro akamwambia Yesu, “Rabi, ni vyema sisi tukae hapa. Turuhusu tujenge vibanda vitatu: kimoja chako, kingine cha Mose na kingine cha Eliya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Mose na Eliya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Yesu.
6Petro hakujua aseme nini kwa maana yeye na wenzake walikuwa wameogopa sana.
Cross References
Psalms 62:2Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; 1 yeye ni ngome yangu, sitatikisika kamwe. 1
Matthew 23:7Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’ + 23:7 Rabi maana yake Bwana, Mwalimu.
John 14:21Yeyote mwenye amri zangu na kuzishika ndiye anipendaye, naye anipendaye atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.”
1 John 3:2Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo.