Mark 9:6
Petro hakujua aseme nini kwa maana yeye na wenzake walikuwa wameogopa sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he wist not what to say; for they were sore afraid.
In Context
Cross References
Daniel 10:15Alipokuwa akinielezea haya, nilisujudu uso wangu ukiwa umeelekea chini, nikawa bubu.
Revelation 1:17Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama aliyekufa. Ndipo akauweka mkono wake wa kuume juu yangu na kusema: “Usiogope, Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho.